Watumishi wawili wa halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu wamefungwa jela miaka mitano kwa kosa la wizi wa mahindi ya msaada ktk kijiji cha Masamwa tukio la wizi walikifanya Januari 7 na 8,2013.Mahindi hayo ni Tani 10.77 zenye thamani ya Sh 13275000.Waliokumbwa na adhabu hizo ni CHARLES KISENHA (VEO BUSHITALA)na ISACK GAMBISHI(AFISA KILIMO KATA YA BUSILILI)
Na Samwel Mwanga-Malunde1 blog Simiyu