Noma Sana!! ZITTO KABWE ATIKISA MKOA WA MARA NA ACT WAZALENDO YAKE

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akihutubia wananchi wa Mkoa wa Mara katika Ziara ya kukitambulisha chama. kwenye ziara hiyo wameshatembelea mikoa ya Songea, Njombe, Makambako, Iringa, Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Kahama, Mwanza, na Aprili 20,2015 ilikuwa Musoma mkoani Mara. 
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi wa Musoma kwenye Viwanja vya Shule mkoani Mara.

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe akiwasili kwenye Viwanja vya Shule mjini Musoma mkoani Mara kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa chama chake.





 
 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527