Haijawahi Kutokea!! JAMAA ATENGENEZA SIMU KWA KUTUMIA NYASI!! JIONEEE HAPA

 

Watu wengi wamekuwa wakilalamikia teknolojia na ufundi wa simu nyingi za kisasa wengi wakiwaponda wabunifu kwa misingi ya kuwaasilimia kubwa ya simu za mfumo wa 3G na zaidi zinatengezwa kwa plastiki.

Sasa basi,bwana mmoja mbunifu amekuja na jibu ya kutengeza simu kutokana na ''Nyasi'' .

Bwana Sean Miles amezindua simu itakayokuwa ya kipekee.

Simu hiyo ndiyo ya kwanza kuwahi kutengenezwa kwa asilimia 100% kutokana na bidhaa hii.

Gamba la juu la simu hiyo limeundwa kwa bidhaa inayotokana na nyasi maalum iliyochanganywa na kemikali fulani na kiungo (resin)
"mchanganyiko huu maalum unatoa sura kama vile (carbon) alisema Miles.

Mfumo huo unachanganywa na kumbwa kwa njia itakayoruhusu watengezaji wa simu kuumba gamba la simu inayotokana na nyasi.

Bwana Miles alikuwa amepewa kandarasi na kampuni ya simu ya O2 kutafuta mbinu ya kutumia upya bidhaa ambazo zimekosa wateja ama zimezeeka.

Hata hivyo kitengo cha ubunifu kilitamaushwa na ubunifu wake na sasa kimeanza mikakati ya kutathmini uwezo wa kampuni hiyo kuunda kwa wingi magamba ya simu.

Kufikia sasa asilimia 25% ya simu nzee nchini uingereza zinarekebishwa na kutumiwa upya.
Via>>BBC

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527