Maajabu!! MTOTO AZALIWA AKIWA TAYARI NA MENO MDOMONI,MAMA AGOMA KUMNYONYESHA,VIDEO IKO HAPA


born
Ni jambo la kushangaza kidogo kuona mtoto akizaliwa huku akiwa na meno tayari lakini mama huyo anayeishi katika mji wa Missouri, Marekani ametamka kuwa hataweza kumnyonyesha mtoto wake aliyemzaa baada ya kugundulika kuwa amezaliwa akiwa na meno mawili ya mbele.
Wamesema alizaliwa akiwa na meno mawili ya mbele,imekua ni mshtuko kwa kila mtu kwani ni jambo la ajabu kidogo:-Bailey
Alisema mbali ya watu kushangaa pia madaktari walikua wakishangaa.
Alisema kutokana na hali hiyo Alyssa Bella atakua akinywa 
 maziwa ya kopo na si kunyonya.
 TAZAMA VIDEO HAPA
 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527