KUHUSU WIMBO ULIOLETA KIZAA ZAA WA MSANII WA SHINYANGA,YADAIWA UMEIBIWA NA DARASA,NEY WA MITEGO KAPEWA DHAMBI

ZIKIWA ZIMEPITA SIKU CHACHE TANGU Darasa Alipo achia Single Yake Mpya Chini Ya Mikono Ya MR.T.Touch Tunaishi ,Nimepokea Malalamiko kutoka kwa watu tofauti wakidai kuwa Nyimbo aliyoiachia Darasa Kamwibia Dady Beda Msanii Kutoka Shinyanga ambaye sasa anaishi Tanga.

Darasa akiwa na Dady Beda

Inaelezwa kuwa Dady Beda alikuwa amemshirikisha Darasa pamoja na Danny Pesy kwenye ngoma Yake aliyoipa jina la Napiga Hatua  lakini Baadae Dady Beda Akashangaa Darasa ametumia mistari yake pamoja na bit kwenye ngoma yake huku akimshirikisha Ney wa Mitego na kuipa jina la Tunaishi.

UNAWEZA KUZISIKILIZA/Download HIZO NGOMA HAPA CHINI

YA KWANZA NI YA Dady Beda aliyomshirikisha Darasa na Danny Pesy

YA PILI NI YA  Darasa aliyomshirikisha Ney wa Mitego

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527