TAZAMA VIDEO- WABUNGE WAKIPIGANA NGUMI LIVE BUNGENI HUKO KENYA

Ke2Kikao cha Bunge la Kenya kilisimama kwa takribani dakika 30 kutokana na kutofautiana kwa Wabunge hao kuhusiana na msimamo wao kutofautiana wakati wakiendelea na mjadala unaohusu mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Nchi hiyo kutokana na kukabiliwa na changamoto mbalimbali kwenye masuala ya Usalama.
Wabunge wa upinzani walipinga muswada huo kwa kutupa karatasi chini, Bunge likaahirishwa ambapo hali ya hewa ilikuwa mbaya na baadaye Wabunge hao kupigana, wengine wakichaniana nguo na hata kuumizana.
Ke
Vikosi vya Usalama vililazimika kulizunguka eneo hilo la Bunge ili kuimarisha Usalama.
Ke00
Seneta Johnston Muthama alichaniwa nguo na kuumizwa katika vurugu hizo.
Ke1
Hali ilivyokuwa nje ya Bunge la Kenya 
TAZAMA VIDEO HALI ILIVYOKUWA



Mpenzi Msomaji,Tunapenda kukutumia Habari zetu zote mara tu Tunapoziweka Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa "HABARI" VITUKO "MAPENZI"MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba  +255 688 405 951

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527