SASA NI RASMI: MAXIMO OUT, HANS VAN DER PRUIJM NA MKWASA MAKOCHA WAPYA YANGA,MENGINE MENGI YAPO HAPA

VAN


Baada ya kuwepo kwa taarifa zisizothibitishwa rasmi za kufukuzwa kazi kwa kocha mkuu wa timu ya Dar es salaam young African Mbrazil Marcio Maximo, hatimae hii leo uongozi wa timu hiyo umemtangaza rasmi Mdachi Hans Van Der Pruijm kuwa kocha mkuu wa timu hiyo.

Tetesi za kufukuzwa kwa Maximo zilitawala vyombo vingi vya habari nchini baada ya kuwasili kwa kocha Pruijm siku ya jumatatu na kunaswa na kamera zetu akipokelewa na viongozi wa Yanga.


Taarifa ya klabu ya yanga iliyosomwa na mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo Jerry Muro mbele ya waandishi wa habari, imemtaja Hans Van Pruijm kuwa kocha mkuu wa yanga akisaidiwa na Boniface Mkwasa.


kam

Mpenzi Msomaji,Tunapenda kukutumia Habari zetu zote mara tu Tunapoziweka Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa "HABARI" VITUKO "MAPENZI"MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba  +255 688 405 951

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527