KUHUSU SIMULIZI YA KUTISHA YA GAMBOSHI


Mpenzi mfuatiliaji wa simulizi kuhusu GAMBOSHI ambayo huwa tunakuletea kila siku za Jumamosi kila wiki kupitia www.malunde1.blogspot.com Tunaomba radhi kwa simulizi hiyo  kukosekana wiki iliyopita ya Tarehe 13.12.2014 na leo Desemba 20,2014. Hii inatokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.

Simulizi hiyo ambayo ilifikia sehemu ya 11 Desemba 6,2014,Sehemu ya 12 itaendelea wiki ijayo siku ya Jumamosi Desemba 27,2014.

Aidha mkurugenzi wa Malunde1 blog ndugu Kadama Malunde anawakaribisha watunzi  wa simulizi ,wote wanaopenda simulizi zao zichapishwe kwenye blog hiyo yenye wasomaji zaidi ya Milioni 2 na nusu na wasomaji wasiopungua elfu 20 kwa siku.

Tunakaribisha pia Matangazo ya kila aina,na kama una habari ama picha tutumie chap chap kwa namba 0688 405 951 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527