KUHUSU KUSAMBARATIKA KWA BUNGE LA TANZANIA JANA USIKU NA SPIKA KUAHIRISHA KIKAO GHAFLA

BONYEZA HAPA UJIUNGE NASI TUKUTUMIE HABARI ZETU MARA TU TUNAPOZIWEKA 


Vurugu  za  aina  yake  ziliibuka  Bungeni  jana  usiku   baada  ya  UKAWA  Kugoma  kuendelea  na  mjadala  wa  Bunge  wakishinikiza  Waziri  Muhongo  awajibishwe....

Vurugu  hizo  ziliibuka  baada  ya  kiongozi  wa  kambi  rasmi  ya  upinzani  bungeni, mh. Freeman Mbowe  kusimama  na  kumtuhumu  Spika  wa bunge kuwakumbatia  wezi  wa  Pesa  za  Escrow, hali  iliyowafaya  wabunge  wa  upinzani  wasimame  na  kuanza  kuimba  nyimbo  za  kuwataka  wezi  watoke  ndani  ya  ukumbi  wa  bunge...

BONYEZA MANENO HAYA KWA HABARI KAMILI,USOME PIA DONDOO ZA KIKAO CHA JIONI CHA BUNGE NOV 28,2014,HADI BUNGE LINAAHIRISHWA NA WABUNGE KUTOKA NJE

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527