YANGA YAICHAPA STAND UNITED BAO 3-0,BILA HURUMA LEO MJINI SHINYANGA



Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Stand United na Yanga uliokuwa unafanyika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga umemalizika huku Yanga ikiichapa Stand Fc bao 3-0.Pichani ni mashabiki wa Yanga wakishangilia baada ya kuwachapa wenyeji Stand United Tatu bila.
Jaja ameipatia Yanga bao la kwanza dakika ya 13,huku Jery Tegete akiongeza bao la pili dakika ya 79 na baadaye dakika ya 90 Tegete akaongeza bao la tatu.-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog

Wapenzi wa mpira wa miguu wakiwa katika uwanja wa Kambarage leo kushuhudia mchezo kati ya Stand United na Yanga-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
 Mashabiki wa Stand United uwanjani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
 Mchezo unaendelea-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog

 Dawati la ufundi timu ya Yanga-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog

Kikosi cha Stand United leo
 Kikosi cha Yanga leo-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
 Mashabiki wa Stand united wakiingia uwanjani wakiwa wamepanda juu ya Katapila-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
 Mashabiki wa Yanga uwanjani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527