Noma Kweli!! WANAFUNZI HAWA WASHINDA KUTWA NZIMA WAKIFYATUA MATOFALI BILA KUINGIA DARASANI SHINYANGA

Wakati serikali ikiwa katika utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa, hali imeonekana kuwa tofauti katika shule ya sekondari Mwantini iliyopo halmashauri ya wilaya ya Shinyanga mkoa wa Shinyanga baada ya kukutwa na waandishi wa habari wakifyatua matofali ya shule 
majira ya saa 5:00 asubuhi  muda ambao wangetakiwa kuwa darasani wakiendelea na vipindi vya masomo.

Wanafunzi hao wamekuwa wakifanya kazi hiyo wiki nzima bila kuingia darasani huku wakikosa masomo ambayo ni haki yao ya msingi. 

SOMA HABARI HII HAPA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527