MBUNGE SHIBUDA WA MASWA AVURUGA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI,ARUSHIANA MANENO MAKALI NA MBUNGE MWENZAKE KASULUMBAYI


MBUNGE wa maswa Magharibi John Shibuda  (CHADEMA ) amevuruga kikao  cha baraza la Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kutokana na kuingiza mambo ya ukawa ndani ya baraza hilo  ambapo  ilifikia hatua ya kurushiana maneno makali na mbunge mwenzake  wa Mashariki  Slyvester Kasulumbayi  (CHADEMA) ambapo   vurugu kubwa ilitokea na kutishia kuvunjika kwa kikao

Kikao hicho kilichokuwa kikifanyika  kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya
Maswa  ambapo Shibuda alianza kueleza  msimamo wake mbele ya baraza hilo kutounga mkono msimamo wa UKAWA na kuukataa muundo wa serikali tatu.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527