WAJAWAZITO WALALA MZUNGU WA NNE KITUO CHA AFYA KAMBARAGE -SHINYANGA

Hali ni tete katika kituo cha afya Kambarage Shinyanga.Pichani wakinamama wajawazito na waliojifungua wakiwa katika wodi moja kwenye kituo cha afya cha Kambarage manispaa ya Shinyanga kutokana na upungufu wa wodi,hali ambayo inaweza kuhatarisha afya zao kwa kuambukizana magonjwa.

SOMA HABARI KAMILI HAPA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527