MWANAMKE KICHAA AKUTWA NA MAITI YA MTOTO WA MIAKA MITANO,ALIKUWA NA HIRIZI KIBAO


Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa na matatizo ya akili (pichani ) amekutwa na maiti ya mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitano katika mji wa Lagos nchini Nigeria mapema leo asubuhi.

Mbali na kukutwa na maiti ya mtoto huyo,kichaa huyo picha amekutwa na rundo la hirizi



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527