Breaking News_LORI LILILOBEBA ABIRIA NA MIZIGO KWENDA MNADA WA MHUNZE KISHAPU-SHINYANGA LAPINDUKA ENEO LA UCHUNGA

Habari iliyotufikia hivi punde katika chumba chetu cha habari ni kwamba lori /fuso lililokuwa limebeba abiria na mizigo kwenda katika mnada wa Mhunze wilayani Kishapu mkoani Shinyanga limepinduka katika eneo la Uchunga kata ya Ukenyenge wilayani Kishapu. 

Ajali hiyo imetokea asubuhi hii.

Taarifa za awali zinasema Fuso hilo lilikuwa limebeba watu wengi kuelekea kwenye mnada wa Mhunze uliopo Kishapu
Mpaka sasa watu wawili wameripotiwa kupoteza maisha,majeruhi zaidi ya 20

<<<TAZAMA PICHA HAPA>>>

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527