TAMASHA LA MISS TALENT SHINYANGA LAFUNIKA SHINYANGA,ISHA MASHAUZI APIGA SHOW YA HATARI,MAMA KANUMBA AIBUKA,WAREMBO WENYE VIPAJI WAPATIKANA

Ni ndani ya ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako usiku wa kuamkia leo kumefanyika tamasha kubwa la kumtafuta mrembo mwenye kipaji katika mkoa wa Shinyanga lililoandaliwa na Asela Promotions ambao wamekuwa wakiandaa mashindano ya Miss Shinyanga tangu mwaka 1995,mgeni rasmi alikuwa Vicent Msami msaidizi wa RTO mkoa wa Shinyanga huku mtumbuizaji mkuu akiwa Isha Mashauzi,Pichani ni Vijana kutoka mkoani Shinyanga(Wakali kwanza) wakifungua wakifanya yao jukwaani ikiwa ni burudani ya kwanza katika tamasha hilo kubwa-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Wadhamini katika tamasha hilo la kutafuta mrembo wa mkoa(Miss Talent Shinyanga 2014) lililoandaliwa na Asela promotions ni pamoja na Coca cola,tigo,lewis Entertainment,Saluti 5,Tanzania breweries,unique pub,Diamond fields hotel,Asela Decorations ,clouds media.....-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mc(mshereheshaji) Ice Joseph akifanya yake-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Wageni mbalimbali wakiwa ndani ya ukumbi wa Nssf mjini Shinyanga kushuhudia nani ataibuka kuwa mshindi katika shindano la kutafuta mrembo mwenye kipaji kati ya warembo 20 walioandaliwa na Asela Promotions-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Wadau wakifuatilia kwa umakini kilichokuwa kinajiri ukumbini-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
 
Mwandaaji wa shindano la Miss talent Shinyanga 2014 na Miss Shinyanga 2014 bi Asela Magaka kutoka Asela promotions akiwawakaribisha wageni mbalimbali waliohudhuria tamasha la kusaka mrembo mwenye kipaji -Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mgeni rasmi Vicent Msami kutoka jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akiwasalimia wakazi wa mkoa wa Shinyanga na maeneo ya jirani waliohudhuria tamasha la Miss Talent Shinyanga 2014-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mgeni rasmi Vicent Msami kutoka jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akizungumza ukumbini-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Warembo 20 kutoka maeneo mbalimbali mkoani Shinyanga walioshiriki shindano la Miss talent Shinyanga 2014 ambao pia watashiriki shindano la kutafuta mrembo wa mkoa wa Shinyanga Juni 28,2014 mjini Kahama-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Warembo 20 wakicheza jukwaani-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Juu ya jukwaa warembo wakifanya yao-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Wakazi wa shinyanga na maeneo ya jirani wakifuatilia yaliyokuwa yanajiri ukumbini-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mmoja kati ya washiriki 20 akionesha kipaji chake cha kucheza jukwaani-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mrembo akicheza jukwani ikiwa ni kuonesha vipaji alivyonavyo tofauti na urembo alionao-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Tunaangalia burudani......-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mrembo mwingine akionesha kipaji chake cha kuimba jukwaani-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mrembo huyu alipanda jukwaani na mpira kuonesha kipaji chake cha kucheza mpira-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mshiriki namba 6 akiwa juu ya jukwaa,mrembo huyu alicheza na nyoka(hayupo pichani)-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mshiriki namba 7 akisoma taarifa ya habari ya Televisheni kuonesha kipaji chake-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mshiriki namba 8 akionesha kipaji cha kuchezesha tumbo jukwaani-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mrembo akiimba wimbo jukwaani-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mshiriki namba 20 akiimba jukwaani-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mrembo huyu aliamua kushuka jukwaani akiimba kwa hisia-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Kulia ni mama Steven Kanumba akiwasalimia wakazi wa Shinyanga-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Warembo wakiwa jukwaani-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Isha Mashauzi akitoa burudani katika tamasha la Miss tarent Shinyanga 2014 ndani ya ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Isha Mashauzi alifanya yake jukwaani-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Burudani inaendelea-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga


Wageni waalikwa wakifuatilia kilichokuwa kinajiri-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mzuka ulipanda wakazi wa shinyanga wakaanza kucheza ukumbini kutokana na burudani ya Isha Mashauzi-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Tunaangalia burudani kutoka kwa Isha Mashauzi-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Majaji wakiwa jukwaani kutangaza warembo watano bora wenye kipaji mkoa wa Shinyanga 2014
-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Warembo wanne kati ya watano wenye vipaji mkoa wa Shinyanga 2014-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Warembo watano bora wenye vipaji Shinyanga mwaka 2014.Vipaji walivyonavyo warembo hao ambao ni washiriki namba 5,6,18,20 na 8 walioonesha vipaji vya 5-8-kuimba,kuchezesha tumbo,6-kucheza na nyoka,18 kucheza,20-kuimba. Mshindi wa kwanza katika kupata mrembo mwenye kipaji  kati ya hao watano atatangazwa siku ya shindano la Miss Shinyanga 2014 mjini Kahama Juni28,2014 ambapo mzee Yusuph akiwa ameambatana na wasanii wengine kibao atapiga show -Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Waandishi wa habari wakifuatilia kilichokuwa kinajiri-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Ndani ya ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Mbele kulia ni mkurugenzi wa Malunde1 blog bwana kadama Malunde katika picha ya pamoja na Isha Mashauzi-Picha na Athanas Fabian(Dj hunter-radio Faraja)

Tamasha liliisha kwa Interview katika Red Carpet nje ya kumbi wa NSSF mjini Shinyanga-Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post